KATIBA YA CHAMA
CHA KIKRISTO CHA WASIOONA
TANZANIA

THE CONSTITUTION
OF TANZANIA CHRISTIAN
ASSOCIATION OF THE BLIND

YALIYOMO.
SEHEMU YA 1 UTANGULIZI
SEHEMU YA 2: MADHUMUNI (MALENGO
SEHEMU YA 3: MUtJNDO WA CHAMA
SEHEMU YA 4 : UANACHAMA
SEEIEMU YA 5: UONGONZI
SEEIEMU YA 6: VIKAO
SEHEMU YA 7: UCHUMI
SEHEMU YA 8: BODI YA WADHAMINI
SEHEMU YA 9:
SEHEMU YA 10: MAREKEBISVIO
SEHEMU YA 11: KIJVUNJIKA KWA CHAMA.
THE HEAD OFFICE
TANZAN IA CHRISTIAN
ASSOCIATION BLIND
p.o. Box
Msingi wa Chama hiki ni kwa mafundisho ya Bwana Yesu Kristo mwenyewe kama ilivyo katika Maandako Mtakatifu, yaani Bíblia. Kusudi Ia Chama hiki ni kuinua na kuimarisha hali ya maisha ya kiroho na kimwili kwa Wasioona.
Kushirikiana kwa kusoma Ncno Ia Mungu kwa pamoja na kusaidiana (Isaya 41
Na kuhakikisha kuwa kila asiyeona anafanikiwa na Injili ya Bwana wetu Yesu
Kristo iletayo Wokovu kwa kila aaminiye (Yoh. 3: 16)
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI
- Jina Ia Chama litakuwa Tanzania Christian Association for the Blind (TCAB)
- Makao makuu ya Chama yatakuwa mJini Tabora
- Anwani ya Chama ni S.L.P 183, TABORA -TANZANIA
SEHEMU YA PILI: MADHUMUNI NA MALENGO
Malengo na Madhumuni
Kuwaunganisha Wakristo wasioona WOte nchini.
Kuhakikisha kuwa kila asiyeona anafikiwa na Injili
III. Kuinua hali ya maisha ya kiroho kwa Wasioona kwa kusoma neno Ia
Kusaidia kuinua viwango vya taaluma, afya na maisha ya kijamii kwa wasioona.
Kushirikiana na vyama vingine vyenye madhumuni yanayofanana na Chama-chetu.
Kuwa tayari kupokea misaada kutoka kwenye vyama vingine, watt’ binafsi pamoja na mashieika mbali mbali pasipo mashañiya kuvunja Kathba hii.
SEHEMU YA TATU: MUUNDO WA CHAMA. kuu
Alht
W. Bodi ya Wasahauri
Kamati ya Utendaji

SEHEMU VA NNE: UANACHAMA
Uanachama na ada
- Wanachama watakuwa ni Wakrito wasioona kuanzia umri wa miaka kumi na milano na kuendelea.
- Awe ni mghirika hai wa Kanisa na anayetambulika kanisani kwakc
- Awe ni raia wa Tanzania
- Awe anakubaliana na Katiba hii
- Awe tayari kutoa kiingilio, ada na michango yoyote itakayokubalika na
t) Awe tayari kupokea ushauri na maonyo kutoka kwa uongozi wa chama na kwa wanachama wenyeue.
g) Uanachama wa Mwanachama utakoma iwapo moja-wapo ya yafuatayo litatokea :
i) Kufariki dunia ii) Kuhama nchini iii) Kujitenga na Imani ya Kikristo iv) Kutokulipa ad a ya uanachama b aada ya muda wa mwaka mmoj a.
Haki za Mwanaehama.
- Chama kitakuwa tayari kushirikiana ma mwanachama kufanya huduma kulingana na karama aliyonayo.
- Atahudhuria vikao vyote husika bila kukosa isipokuwa k•.va taarifa
- Atakuwa na uhuru wa kutoa mchango wake wa wakati wowote katika Chama.
- Atakuu’a na uhuru wa kuchagua na kuchaguliua kuwa kiongozi.
SEHEMU YA TANO: UONGOZI
Katika kila ngazi uongozi utadumu kwa muda wa miaka mine
Viongo zi:

Viongozi wa Chama watakuwa ni:•
- Mwenyekiti
- Makamu Mweny ekiti
- K atibu
- Naibu Kati bu
e) Mweka Hazina
- Wajumbe wanne watakaochaguliwa na mkutano Mkuu.
- Mshauri wa Chama
Uchaguzi:-
- Utakapofika wakati uchaguzl katika ngazi yoyote, m wanachama atakuwa na uhuru wa kugombea katika wadhifa ”’owotc.
- Kamatiya chama katika ngazi husika itapitia na kuehuja wagombea kulingana na maadili na sifa za uongozi ambao wanawem kupigiwa kura ili Washike nyadhifa zao.
- Halmashauri kuu ya ngazi husika itaidhinisha mapendekezo ya Kamati kuu na kuyapeleka mtliina hayo katika Mkutano Mkuu wa chama katika ngazi husika ili yapigiwe kura.
- Uchaguzi utakuwa wa kura za siri
- Mwanachama anaycfahamika na kukubalika katika eneo Iake ndiye atakayekuwa na haki ya kupiga kura.
- Mgombea atatangazwa mshrndi iwapo atakuwa amepata zaidi ya nusu ya kura zote zil izopigwa.
- Muda wa uongozi utakuwa ni kipindi cha miaka mine.
Waiihu wa Viongozi

Atakuwa ndlye kiongozi wajuu katika chama na mwenye”kura ya
u amun
Atakuwa•mwenyekiti wa vikao vyote vya chama.
Atakuwa mmoja wa wadhamini na mali chama.
Atasimamia na kulinda katiba ya Chama.

Makamu Mwenvekiti
Atamsaidia Mwenyekiti
Katib u
Atakuwa katibu wa vikao vyote vya chama
Ataitisha vikao vyote vya chama
Atatunza kumbukumbu zote za vikao
Atatembelea maeneo yake ya uongozt ili kuimarisha shughuli za Chama.
V. Atatekeleza wajibu m wingine WOWOte atakaoagizwa na kamati ya utendaji.
Vl. Atasajili wanachama wote.
K atibu Msaidizi
Atamsaidia Katibu
Mweka Hazina.
Ataandaa na kutunza mahesabu ya Chama.
Atapokea fedha na kufanya malipo kufuata taratibu za fedha Zitakazokubalika.
111. Ataandaa na kutoa taarifa na mahesabu kwenye Kamati ya utendui i na kwenye Mkutano wa Ngazi husika
Atatayarisha mahesabu ya mwaka kwa ajili ya ukaguzi
Kuelekeza na kutoa ushauri kwa ngazi za chim juu ya utunzaji wa fedha na mahesabu ya chama.
VI, Atapokea ada na michango yote itakayoingizwa na wanachama
Sifa za Viongozi (miiko ya Uongozi)
Asiwe mwamini mpya (Awe mwamini kuanzia miaka miwili na kuendelea)
Atambulike kanisani kwakc iii. Ause na mwenendo mauri wa maisha ya kiroho_
SEHEMU YA SITA: VIKAO
Mkutano Mkuu uaWilaya utakuwa na Wajumbe wafutao:-
- Wanachama wote katika W ilaya
- Mwenyekiti

Makamu mwenyekiti
- Katibu
- Katibu msaidizi
f) Mweka Hazina
g) Wajumbe wanne watakaochaguliwa na Mkutano Mkuu wa Wilaya
W_gjibu wa Mkutano Mkuu wa Wilgyg,
Utapokea na kujadili taarifa ya fedha za kazi ya Mungu katika Wilaya.
Utajadili na kupitisha bajetiya Wilaya.
Utasimamisha viongozi watakaokiuka katiba ba maadili ya Chama katika Wilaya na kupeleka taarifa hizo ngazi za juu.
IV. Utakapofika wakati wa uchaguzi Mkutano Mkuu wa Wilaya utachagua viongozi Wafuatao:•
- Mwenyekiti
- Makamu Mwcnyekiti
- Katibu
- Naibuu Katibu
- Mweka Hanna
Wajumbe Wanne watakaochaguliwa mna Mkutano Mkuu.
Kazi za Kamati ya utendaji:
Itaanda mikutano ya fedha na kazi ya Mungu katika Wilaya.
Itasimamisha shughuli za kila Wilaya
111. Itapendekeza majina ya wahudhumw’ wahubiri katika Wilaya
Itamjadili kiongozi atakayekiuka Katiba na maadili ya Chama na kutoa mapendekezo kwenye Mkutano Mkuu.
Utakapofika v,akati wa uchaguzi itajadili majina ya wanachama watakaoomba nafasi katika Wilaya.
Itasimamia miiradi itakayoanzishwa na chama
nn kwa mwaka, lakini itaweza kukutana wakati wowote ikibidi.
Kutakuwa na vikao vifuatavyo katika Moa:Mkutano Mkuu wa Mkoa

11. Kamati ya Utendaji ya Mkoa Halmashauri kuu ya Mkoa
Mkutano Mkuu wa Mkoa utakuwa na wajumbe wafuatao:-
- Mwenyekltl
- Makamu Mwenyekiti
- Katlbu
- Naibu Katibu
- Mweka Haziana
- Wajumbe wanne watakaochaguliwa na Mkutano Mkuu
- Wenyekiti na makattbu wa Wilaya zote katika Mkoa husika au wawakilishi
Majibu ya Mkutano Mkuu wa
Utapokea na kujadili taarifa ya fedha na kazi ya Mungu katika Mkoa.
Utahakikisha kuwa maazimio na maelekezn ya ngazi za juu yanatekelezwa ipasavyo.
Utajadili na kupitisha bajeti ya Mkoa
Utaandaa mikutano ya Kiroho na kuteua majiaya wahudumu/ wahubiri katika Mkoa.
Utasimamia viongozi watakaokiuka katiba na maadili ya chama katika
Mkoa na kupeleka taarifa hizo katika ngazi juu.
Utakapofika wakati wa uchaguzi Mkutano Mkuu wa Mkoa utawachagua viongozi wafuatao:-
- M wenyekiti
- Makamu mwcn
Katibu
Naibu Katibu
e) Mweka Hazina
0 Wajumbe w anne.
Utafanyika mara moja kwa mwaka lakini unaweza kufanyika wakati wowote kwa maagizo ya viakao vya juu na kwa dharura_

HALMASHAURI YA MKOA.
Wajumbe wake
Wajumbe Batatu kutoka kila Wilaya
MWenyekiti
| ii) | Katibu |
| iii) Waj ibu | Mweka Hazina. |
Itakuwa na kazi kama zilivyo kwa Halmashauri Taifa.
Halmashauri hii itakutana mara moja kwa mwaka
Halmashauri hii itapendekeza wagombea uongozi katika ngazi ya
Mkoa.
Kamati ya Utendaji ya Mkoa.
(i) Kutakuwa na Kamati ya Utendaj i ya Mkoa ambayo itaku na wuiumbe wafuatao:-
- Mwcnyekiti
- Makamu mwenyekiti
- Katibu
- Naibu Katibu
- Mwcka Hazina
t) Wajumbe wanne watakaochaguliwa na Mkutano wa Mkoa.
Wajibu wa Kamati ya Utendaji ya Mkoa
Itapokea na kujadili taarifa ya fedha na kazi ya Mungu katika Mkoa,
Itasimamia shughuli za kila siku za Mkoa.
Itatoa mapendekezo ya Mikutano ya Kiroho,
ItamjadiliKiongozi atakayekiuka katihana maadili ya Chama na kutoa mapehdekem kwenye Mkutano Mkuu Mkoa.
Itaandaa agenda za Mkutano Mkuu wa Mkoa-
Utakapofika wakati wa uchaguzi itajadili na kupendekeza majina ya wanachama watakaoomba kugombea nafasi za Uongozi katika Mkoa.
THE HEADO*EE
TANZANIA CHRISTIAN
BLINt
Itakutana mara moja kwa mwaka, Iakini inawcza kukutana Wakati wowote kama itaagizwa na vikao vyajuu au kwa dharura.
Vikao .yyg Taifa.
Kutakuwa na vikao vifuatavyo katika ngazi ya Taifa;-
- Mkutano Mkuu w a Taifa
- Kamtl ya Utendajiya Taifa
- Halmashauri kuu ya Taifa
- Sekretarieti
Mkutano Mkuu wa Taifa utakuwa na waJumbe wafuatao:-
- Mwenyekltl
- Makamu mwenyekiti
- Katlbu
- M weka Hanna
- Wajumbe Wanne watakaochaguliwa na Mkutano Mkuu.
Wenyeviti ana Makatibu wa Mikoa au wawakilishi wao.
W ajibu wa Mkutano Mkuu Taifa:
Utapokea na kuajdili taarifa ya fedha na kazi ya Mungu Kitaifa.
11. Utatathmini utekelezaji wa maazimio na maelekezo yake.
Utajadili na kupitisha bajeti ya Taifa.
Utateua bcnki itakayotunza fedha
Utateua majina ya wahudumu/ wahubiri Kitaifa
Vl. Utatcua bodi ya wadhamini wa Chama
VII. Utawafukuza uongozi /viongozi watakaokiuka katiba na maadili ya
Utapitisha ada, viingilio na michango.
Utapanga Mikutano ya kiroho ya Kitaifa.
Utakapofika wakati wa uchaguzi, Nlkutano Mkuu wa Taifa utawachagua viongozi wafuatao:-
- Mwcnyekiti
- Makamu Mwenyekiti
e) Katibu

- Naibu K atibu
- MW eka Hazina
- Wajumbe w anne
xi. Utafanyika mara moja kila baada y a miaka miwili Iakini mkutano wa dharura unaweza kufanyika wakati wowote.
HALMASHAURI YA KITAIFA
Waj umbe wake
Mwenyekiti wa Kitaifa
Katihu wa Kitaifa
Mweka Hazinawa Kitaifa
Makatlbu wa Mkoa
Waj ibu.
Kusimamia shughuli zote za uenezaji wa Injili na malezi kwa kadri ya katiba hii ilivyo.
Kupokea taarifa za kazi na fedha kutoka kwa mweka Hazina wa Taifa na kupitisha kwcnda kwenye Mkutano Mkuu wa Taifa
Kutoa taarifa na mapendekezo ya huduma na kazi kwa Mkutano Mkuu wa Chama.
Kufuatilia tekelezqii wa maazimio yote ya mkutano mkuu wa Chama
Kupokea na kujadili mapendekezo ya maj ina ya wataogomhea ngazi mbali mbali za uongozi na kuyafikisha kwa Mkutano Mkuu.
Itapcndekeza ada, vingiilio na michango,
Itamjadili kiongozi atakayekiuka Katiba na maadili nya Chama, na kutoa mapendekezo kwenye / mkutano Mkuu wa Taifa.
KAMATI YA UTENDAJI YA TAIFA
Kutakuwa na kamati ya utendaji ya Taifa ambayo Itakuw+na wajumbe

- Mwenyekiti
- Mkamu Mwcnyekiti
- Katibu
- NaibuKatibu

- Mweka Hazina
- Wuiumhc watano watakaochaguliwa na Mkutano Mkuu wa Taifa.

Itapokea na kujadili tarifa ya fedah na kazi ya Mungu kitalfa
Itasimamia shughuli za kila siku kitaifa
111. Itatoa mapendekezo ya Mikutano ya kiroho.
Itajadili Kiongozi atakayekiuka katiba na maadili ya Chama na kutoa mapendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya Taifa,
Itaandaa agenda za Mkutano Mkuu wa Taifa
Utakapofika wakati wa uchaguzi itajidili na kupendekeza majina ya v,anachama watakaoomba kugombea nafasi na Uongozi kitaifa.
vii. Itakutana mara moja kwa mwaka, lakini inawcza kukutana wakati wowote kama itaangigwa na Mkutano Mkuu wa Taifa.
SEKRETARIETI
Wajumbe wa Sekretarieti ya TCAB ni hawa wafuatao:Mwenyekiti
Makamu Mweny ekiti
K atibu
Naibu Katibu
Mweka Hazin a
Wajibu.
Kutathmini kazi za chama katika ngazi husika
Kupokea na kutekelcza maazimio ya Halmashauri kuu Na Mkutano Mkuu wa chama katika ngazi husika.
III. Kusimamia na kuongoza shughuli zote za siku kwa siku za chama katika ngazi husika.

a) Washaun wa chama
i) Washauri wa chama watakuwa na waj umbe wanaoona / wasicH)na ambao watachanguliwá na mkutano wa mwaka wa ngazi husika ii) Kila ngazi husika itakuwa na mashauri mmoja ambayc atatakiwa

uelekeo mzuri kwa wasioona, akiwa Mchungaj i, Mzee wa kanisa au Mtu yeyote aliye Mshirika K anisani
b) Sifa za Washauri
- Awatambue, awajali na kuwathamini walemavu.
- Awe ni mkristo wa kweli na mwcnye kushuhudi’,va verna iii) Awe amekomaa kiroho iv) Awe na uwem wa kut0a ushauri na awe ni mbunifu
- Awe na sifa au vipawa vya uongozi.
- A we mtu anayekomaa kiumri vii) Awe tayari kushirikiana na viongozi wa chama.
viii) Awe na mzigo na Wito wa kuhudumu au kushirikiana na walemavu.
c) Kazi na Mshauri wa Chama.
- Kutoa ushauri, miongozi na maelekezn kwa viongozi wa Chama.
- Kubuni mbinu na mikakati ya kukiwezesha Chama kufaniklsha malengo na madhumuni yake ili kuboresha maisha ya wanachama na viongozi
SEHEMU YA SNBA: UCHUMI
Vyanzo vya Mapato:
i) Michango ya wanachama ii) Ada za wanachama iii) Michango ya Wahisani wa ndani na nje ya nchi.
iv) Miradi mbalibali ya uzalishaji mali.
Utunzaii wa Fedha.
Fedha zote za Chama zitatunzwa katika akaunti ya chama katika itakayo pendekezwa na Mkutano Mkuu Akaunti hiyo ya itakuwa na Jinan a namba ya
Wajumbe wanne ndiO watakaokuwa na ruhusa ya kuchukua na kutoa fedha kutoka Benki au kuidhinisha malipo ya Hundi_ Wajurnbc wawili katl yao wanaruhusiea kuidhinisha malipo au kuehukua fedha kutoka Benki, ambapo ni lazima Katibu ahusike.

Matumizi ya Fedha.
Fedha zote za chama zitatumika kwa kadri ya malcngo na makusudi ya chama hasa katika kufanikisha kuyafikia madhumuni na malengo hayo. Kila matumizi ni lazima yaidhinishwe na Mwenyekiti, Katibu na Mweka Hazina ambaye ndiye atahusika katika kufanya malipo.
Ukaeuzi wa Fedha:
Vitabu vya hesabu vya chama vitakaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu wa kujitegemea lakini anayetambuliwa kisherai. Mkaguzi huyo atachaguliwa na
Halmashauri Kuu ya Chama kila baada ya miwili(2)
SF.HEMU YANANF.: BODI VA WADHAMINI.
a) Kutakuwa na Bodi ya Wadhamini ya wajumbe ”’atano watakaochaguliwa na Mkutano Mkuu wa Taifa (W asia wanachama kutoka makanisani)
b) Bodi wadhamini itakuwa na kazi zifuatatzo:-
i) Kutoa miongozo na maelek ezo kwa u ongcvzi wa chama ii) Kubuni na kupendekeza mbinu na mikakati ya kukiendeleza Chama.
iii) Kulinda mali za Ch ama.
c) Bodi ya wadhamini itakuwa na kikao chake cha kawaida mara moja kwa mwaka, lakini inaweza kukutana kwa dharura kadri Mwenyckiti atakavyo Ona inafaa. d) Sifa za wadhamini ni kama zilivyo za washauri lavenye katibu hii.
SEHEMU TA TISA:• AKIDI
i. Nu su ya wajumbe wa kikao husika itahesabiwa kuwa akidi ya kikao ii. Itakapotokea akidi kutofikia nu su ya wajumbe kikao kitaahirikshwa
THE HED
TANZANIA STIAN
THE
P,o. Box
SEUEMU YA KUMI: MAREKEBISHO
- Marekebisho yoyote ya Katiba h ii yatafanywa na Mkutano Mkuu wa mwaka
- Azimio maalumu litapitihswa ksva wingi wa theluthi mbili ya kura za wenye haki ya kupiga kura,
SEHEMU YA KUMI•. KUVVNJIKA KWA CHAM3.
- Uamuzt wa kuvunjika kwa Chama uta Olewa na Mkutano Mkuu wa Taifa kwa kura za wajumbe halali wasiopungua theluthi mbili.
- Bodi ya wadhamini ndiyo itakayokabidhiwa mali za Chama baada ya kuvunjika ksva Chama.
- Kwa vile mali za Chama ni kwa ajiliya kuhubiri kuendeleza Injili, chama kitakapovunjwa mali zote za Cham zitagawiwa na Bodi ya wadhamini kwa mashirika au vyama vya dini vycnye madhumuni yenye mahusiano na ya chama hiki
MWISHO.

CONTENTS.
| PARTI: | INRODUCTION | |
| 11. | PART 2: | GOALS/OBJECTIVE |
| iil. | PART 3: | THE ORGANIZATION STRUCTURE |
| PART 4: | MEMBERSHIP | |
| PART 5: | LEADERSHIP | |
| PART 6: | MEETINGS | |
| vii. | PART 7: | ECONOMY |
| PART 8: | BOARD OF TRUSTEES | |
| PART 9: | QUORUM | |
| x. | PART 10: | AMENDMENTS |
| PART 11: | DISSOLVING THE ORGANIZATION |
THE HEAD OFFICE
TANZANIA CHRISTIAN
ASSOCIATION OF THE BLIND
P.o. ’BaTABORA
